chichewa   |   english

werengani izi

(read)

MBINU ZA KUWA NA MAISHA YENYE MAOMBI YA KUGUZA NA YENYE NGUVU

(KEYS TO AN EFFECTIVE PRAYER LIFE)

Kila momoja angetaka kuwa na maisha yenye maombi ya nguvu na yenye mguzo, lakini kuna vitu katika somo hili ambavyo wakristo wengi hawajafundishw? Maombi ni kuongea na Mungu, hakuna zaidi wala hakuna chini ya hil? Hili linaweza kufanyika mahali popote na wakati wowot? Zaburi 100 ni moja ya Zaburi zilizofupi (iliyo na msitari 5 pekee) hata hivyo ina mengi ya kutuambia kuhusiana na somo hil? "Mfanyie Bwana shangwe, dunia yot? Mtumikieni Bwana furaha: Njooni mbele zake kwa kuimb?

"Ninajua kuwa Bwana ni mwema: ni yeye aliye tuumba, na sio sisi wenyewe; sisi ni watu wake, na kondoo wa malisha yak? Ingia malangoni mwake kwa sifa, na nyuani mwake kwa kushukuru, ribariki jina Lak? Kwa kuwa Bwana ni mwema; fadhili zake ni za milele; na kweli yake ya dumu katika vizaz?"

Iwapo unataka Bwana asikie maombi yako na ayajibu, basi fanya kama vile hii zaburi inavyopendekeza, ingia malangoni mwake kwa sifa na nyuani mwake kwa kushukur? Haimanishi kuwa hautashiliki naye moyo wako wakati ambao unapitia wakati wa shida, lakini kufanya hivi mwanzo inakusadia kupata mambo katika mtazamo wa saw?

Tunastahili kuwa na shukrani sana, kwa kuokolewa na kuzimu, kupewa wokovu – hakikisho kuwa tutaishi milele mbele za Mungu mwenyewe, fadhili zake ni mpya kila asubuhi na upendo wake (kwako) unadumu milele na milel? Hiyo peke ni ya ajabu kutosha kumsifu Mungu kwa milele yot?

Unapokuwa na mtazamo wa sawa, basi unaweza leta mbele za Mungu chochote kilicho moyoni mwako, na inaweza kuwa atashiliki nawe yale yaliyo moyoni mwake pi? Zaburi 142 inatuambia kama ifuatavyo: "Kwa sauti yangu nalimlilia Bwana, kwa sauti yangu nitamwomba Bwana du?

Nitafunua mbele zake malalamiko yangu, shida yangu nitaitangaza mbele zak? Nilipozimia roho uliyajua mapito yangu; katika njia niendeyo wametitegea miteg? Utazame mkono wa kuume ukaone, kwa maana sina mtu anijuaye, makimbilio yamenipotea, hakuna wakunituza roh?

Bwana, nimekuita nikasema, ndiwe kimbilio langu, fungu langu katika nchi ya walio ha? Usikilize kilio changu kwa maana nimedhihilika san? Uniponye na hao wanaonifuatia, kwa maana wao ni hodari kuliko mim? Uitoe nafsi yangu kifungon? Nipate kulishukuru jina lak? Wenye haki watanizunguka, kwakuwa wewe unanikirim?"

Wakati Daudi alikuwa anapitia wakati mgumu alimwaga shida yake mbele za Bwana, Na tunavyoona kutoka kwa Zaburi hii, aliondoka imani yake ikiwa imeongezeka kama sio kurejeshw? Alianza kwa kumwambia Bwana shida yake na akaishia kuweka shida zake katika mtazamo wakati alikumbushwa jinsi Mungu wetu alivyo mkuu, na mwenye uwez? Waziwazi tunaona kutoka kwa Zaburi hii Daudi alikuwa karibu sana na Bwana kupitia maisha yake ya maomb? Tunashiliki mambo haya na rafiki zetu wa karibu, na Mungu anataka sana tumchukue yeye kama rafiki wetu wa karibu kwa sababu hivyo ndivyo anataka kuwa kabis?

Tunaweza kuongea na Mungu mahali popote na wakati wowote, hata hatustahili kuwa pekee yet? Katika barua ya Paulo kwa kanisa la Efeso tunasona katika sura ya 5 mstari wa 18 na19: "Tena msilewe kwa mvinyo, ambamo mna ufisadi; bali mjazwe Roho; mkisemezana kwa zaburi na tenzi, na nyimbo za rohoni, huku mkiimba na kumshukuru Bwana mioyoni mwenu"

Kwa njia nyingine wakati unapitia wakati wa shida usifanye kile ambacho watu wa ulimwengu wanafanya, na kujukua tabu zako kwa vinyuaji na kunywa mvinyo, lakini peleka shida yako kwa Bwana, na utapata kufaulu sana na kutosheka kwa kufanya hivy? Watu wengi huzungumzia kuhusu wa Philipi sura ya 4 ms 19 kuwa ni utoaji wa Bwana lakini hawasemi chochote kuhusu 1?

Mistari hiyo miwili lazima ichukuliwe pamoja kama sivyo msitari ufuatao utakuwa nje ya mad? Msitari wa 18 na 19 inasema: "Lakini ninavyo vitu vyote na kuzidi, tena nimejaa tele; nimepokea kwa mkono wa Epafrodito vitu vile viliotoka kwenu, harufu ya manukato, sadaka yenye kibali, impedezayo Mung? Na Mungu wangu awajalizeni kila mnachokihitaji kwa kadiri ya utajiri wake, katika utukufu, ndani ya Kristo Yes?" Misitari hii inasema katika matokeo kuwa iwapotuta wahudumia watu nje ya jamii zetu wenyewe na tuwe na ukarimu kwao basi na Mungu atatuangalia na awe mkarimu kwetu pia, hiyo ndiyo kanuni ya bibili?

Mungu ana hamu sana ya kuwa tumuamini yeye na tuliamini neno lake, Basi ikiwa kuna shida katika maisha yetu au upungufu ambao unahitaji kushughulikiwa upesi leta mbele za Bwana, mwachie yeye na uamini kuwa atakupa hekima pia upambane na hiyo hali wewe mwenyewe au kuwa atapambana na hiyo hali yeye mwenyewe kwa niaba yak? Maombi ya shaka hayana uhakika wa kuzikilizw? Wacha tuje mbele za Bwana kwa imani na kwa kushukur?

Kuna mifano miwili kutoka kwa maandiko moja kutoka Agano la kale na mwingine kutoka kwa mfano Yesu alisema kuonyesha sisi kuwa kuna wakati maombi yetu yanastahili kuwa ya kuendelea pasipo kukoma, kabla hatujapata majibu yake ambayo tunataman? Moja ni kwenye kifungu katika Danieli 10 mahali malaika anakuja kwa Danieli kumtia moy?

Katika mistari ya 10 hadi 13 ya sura hii tunasoma: "Natazama mkono ukaniguza ukaniweka juu ya magoti yangu, na vitanga vya mikono yang? Akaniambia, Ee Daniel, mtu upendwaye sana, yafahamu maneno nikuambayo, ukasimame kiwima-wima; maana kwako nimetumwa sas? Na aliponiambia neno hili, na lisimama nikitetemeka ndipo akaniambia usiogope Danieli; kwa maana tangu siku ile ya kwanza ulipotia moyo wako ufahamu, na kujinyekeza mbele za Mungu wako, maneno yako yalisikiwa; nami nimekuja kwa ajili ya maneno yak? Lakini mkuu wa ufalme wa Uajemi alinipiga siku ishirini na moja; bali tazama huyo Mikaeli, mmoja wa hao wakuu wa mbele akaja kunisaidia; nami nikamwacha huko na wafalme Wauajem?"

Mfalme wa Uajemi sio mwanadamu lakini ni nguvu za mapepo, moja ya zile zinazo sababisha shida ulimwengun? Hili halifai kututia hofu kwani tunaposoma katika Waefeso sura ya 6 msitari wa 12 na 13 inatukumbusha kuwa: "Hatufanyi vita juu ya damu na mwili, bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya jeshi la pepo wabaya katika ulimwengu wa roh?

Kwa sababu hiyo twaeni silaha zote za Mungu, mpate kuweza kupiga na siku za uovu na mkiisha kuyatimiza yote kusimam?" Mawaidha ya Agano jipya kuwa tunastahili kutokoma katika maombi yetu inakuja katika mfano Yesu alipeana unaojilikana kama mjane mng'ang'anifu, inapatikana katika Luka sura ya 18 msatari wa 1 hadi 8 inasema kama ifuatavyo:

"Akawaambia mfano, ya kwamba inawapasha kumwomba Mungu siku zote, wala wasikate tama? Akasema palikuwa na kadhi katika mji Fulani, hamchi Mungu wala hawajali wat? Na katika mji huo palikuwa na mwanamke mjane, aliyekuwa akimwendea-endea akisema, nipatie haki na adui wang? Naye kwa muda alikataa; halafu akasema moyoni mwake, Ijapokuwa simchi Mungu wala sijali watu, lakini kwakuwa mjane huyu ananiudhi, nitampatia haki yake asije akanichosha kwa kunijia daim?

Bwana akasema, sikilizeni kama asemavyo yule kadhi mdhalim? Na, Mungu je! Hatawapatia haki wateule wake wanaomlilia mchana na usiku, naye ni mvumilivu kwao? Nawaambia, atawapatia katika upesi; walakini atakapo kuja mwana wa Adamu, je! Ataiona imani duniani?

Ujumbe wa maandiko haya katika vifungu hivi viwili ni dhahiri, usikate tamaa kuombea kile unacho hitaji na kutamani kwa kuwa kuna vita vya rohoni vinavyoendelea katika ulimwengu wa roho, isipokuwa kuna udhaifu kwako endelea kuomba na ujue kwelikuwa hatimaye utaona kile unachoomba kikitendek?

Kunakitu kiingine kuhusu vita vya rohoni, ambacho Yesu aliwafundisha wanafunzi wake lakini kimesahauliwa, na kimepuuzwa sana na makanisa mengi ya le? Mandiko haya yatakuja mara kwa mara katika somo hili kwa sababu yana umuhimu san? Ya kwanza inapatikana katika injili ya Mathayo sura ya 13 msitari wa 29, na inasema ifuatavyo: "Amaawezaje mtu kuingia ndani ya nyumba ya mtu mwenye nguvu na kuviteka vyombo vyake, asipomfunga kwanza yule mwenye nguvu?

Ndipo atakapoiteka nyumba yak?" Ya pili inakaribia kufanana na hiyo inasema kama ifuatavyo: "Amini na waambieni, lolote mtakalolifunga dunuani litafungwa mbinguni: na lolote mtakalolifungua duniani litafunguliwa mbingun? Tena nawaambieni wawili wenu wakikubaliana jambo na kuomba, watapewa na Baba yangu aliye mbingun?

Mahali wawili wamekusanyika kwa ajili ya jina langu, nami nitakuwa katikati ya?" Katika maandiko hayo yote hayo ndio Yesu aliwaambia wanafunzi wak? Iwapo hatutafanya vile ambavyo Yesu ametushauri basi hatutaona matunda yakitoke? Watu wengi wamekosa kuyafahamu au kufafanua kimakosa maandiko haya (katika hali zingine yote mawili) kama inavyosema wazi chochote utakachofunga duniani kitafungwa mbinguni na chochote unachofungua dunuani kitafunguliwa mbingun? Usimwambie Mungu afanye kufunga na kufungua, hiyo ni kazi yako, Zaidi umepewa mamlaka kufanya, basi endelea na utumie hayo mamlaka Mungu amekupati? Hakuna maana yako kuwa na mamlaka haya, iwapo Mungu atajifanyia mambo haya yeye mwenyew?

Kunayo mambo katika mandiko ambayo tumeamriwa tuyaombe? Moja ya haya ni wale wote wanaotuongoz? Hiyo ina maanisha serikali ya mtaa na kitaifa, jeshi la polisi na chochote na kila kitu ambacho kina mamlaka ya halali juu yet? Hapa hatuwahesabu wachungaji wetu na viongozi kama vile wamehesabiwa katika maandiko kama vile tunavyoenda kuona hivi pund?

1 Timotheo sura ya 2 msitari wa 1 hadi 4 ni muhimhu sana, sana katika somo hili tunaloliangalia, inasema: "Bas? Kabla ya mambo yote, nataka dua na sala, na maombezi, na shukurani, zifanyike kwa watu wote; kwa ajili ya wafalme na wote wenye mamlaka tuishi katika maisha ya utulivu na amani, katika utauwa wote na ustahiv? Hili ni zuri nalo lakubalika mbele za Mungu mwokozi wetu; ambaye hutaka watu wote waokolewe, na kupata kujua yaliyo kwel?"

Je, ni vipi kuhusu maombi kwa mtumishi wako, mchungaji na viongozi? Kuna msitari unaohusika na hilo lazima tuende katika kitabu cha Mwanzo sura ya 17 msitari wa 9 hadi 13 inayosema kama ifuatavyo: "Musa akamwaambia Yoshua tuchagulie watu, ukatoke ukapigane na Wamaleki; kesho nitasimaa juu yac kilele kile, na ile fimbo ya Mungu nitakuwa nayo mkononi mwang?

Basi Yoshua akafanya kama vile ambavyo Musa alikuwa amemwaambia, akapigana na Wamaleki na Musa na Haruni na Huri wakapanda juu yakile kilim? Ikawa Musa alipouinua mkono wake Israeli walishida; na aliposhusha mkono wake Amaleki walishind?

Lakini mikono ya Musa ilikuwa mizito; basi wakatwaa jiwe wakaliweka chini yake akalikalia Haruni na Huri wakaitegemeza mikono yake, mmoja upande huu na mmoja upande huu, mikono yake ikadhibitika hata jua lilipokuchw? Yoshua akawaangamiza Wamaleki na watu wake kwa ukali wa upang?"

Katika maandiko hayo viongozi wa Israeli wakapokea ushidi mkubwa viongozi waliposhikwa mkono kuendelea, Hakika basi iwapotuta mwombea mchungaji wetu na viongozi kila siku (hata kama ni kwa muda mfupi) basi wataona ushindi mkubwa kinyume na adui pi?

Hata hivyo kuna vitu vingine viwili ambavyo lazima vizingatiw? Moja ya hivi linapatikana katika Zaburi 66 msitari wa 18 inasema: "Kama ni ngaliwaza maovu moyoni mwangu, Bwana asingesikia" Nyingine ni andiko ambalo wengi wanafikiri linahusika na mfano ulionyuma yake lakini yote yako katika kifungu kimoja cha maneno ya Yesu kwa wanafunzi wak?

Haya yanaweza kupatikana katika Marko sura ya 11 mstari wa 20 hadi 2? "Na asubuhi walipokuwa wanapita waliona ule mtini umenyauka kutoka shinan? Petro akakumbuka habari zake akamwambia,, Rabi tazama mtini ulioulaani umenyauk? Yesu akajibu akamwambia mwaminini Mung?

Amini nawaambia yeyote atakaye uambia mlima huu ng'oka uingie baharini, wala asione shaka moyoni mwake, ila amini hayo ayasemayo yatakuwa yak? Kwa sababu hiyo na waambia, yoyote mwombayo mkisali, aminini ya kuwa mnayapokea, nayo yatakuwa yen?

Nanyi kila msimamapo na kusali wasameheni, mkiwa na jambo juu ya mtu; ili baba yenu aliye mbinguni awasamehe nanyi makosa yen? Lakini ikiwa ninyi hamsamehe, wala Baba yenu aliye juu mbinguni hatawasamehe makosa yen?" Unataka kujua vile maombezi yako yanaweza kuwa yanguvu?

Ukitazama maandiko yafuatayo yatakupa msada katika hil? Mwanzo sura ya 18 msitari wa 16 hadi 33 inatuambia, hadithi ya maombezi ya Ibrahamu na Mungu akiombea mpwa wake na familia ya Lut? Wakati tunawafanyia maombezi waliopotea inastahili kuwa kama tuna jambo la binafsi kuona wamepokea wokov?

Inasema hivi: "Kisha watu hao wakatoka huko wakaelekeza nyuso zao Sodom? Ibrahimu akaondoka nao awasindikiz? Bwana akanena, je, nimfiche Ibrahamu jambo nilifanyalo, ikiwa Ibrahimu atakuwa taifa kuu, hodari na katika yeye mataifa yote ya dunia yatabarikiwa?

Kwa maana nimemjua ya kwamba atawaamuru wanawe, na nyumba yake baada yake washike njia ya Bwana, wafanye haki na hukumu, ili kwamba Bwana naye akamtimizie Ibrahimu ahadi zak? Bwana akasema kwakuwa kilio cha Sodoma na Gomora kimezidi, na dhambi zao zimeongezeka sana, basi nitashuka sasa nione kama wanayotenda ni kiasi cha kilio kilicho nijia na kama sivyo, nitaju?

Basi wale watu wakatoka huko wakaelekea Sodoma; lakini Ibrahimu alikuwa akali akisimama mbele za Bwan? Ibrahimu akakaribia akasema, Je! Utaharibu mwenye haki pamoja na mwovu? Huenda pakawepo wenye haki hamsini katika mji, utahalibu wala hautauaja mji kwa ajili ya hao hamsini wenye haki waliomo?

Hasha usifanye hivyo, ukamwue mwenye haki pamoja na mwovu, mwenye haki awe kama mwovu hasha; Mhukumu ulimwengu asitendete haki? Bwana akasema nikiona katika Sodoma wenye haki hamsini mjini, nitapaacha mahali pote kwa ajili ya?

Ibrahimu akajibu akasem, basi nimeshika kunena na Bwana, nami ni mavumbi na majivu t? Huenda wakapungua watano kwa hao hamsini wenye haki, je, utahalibu mji wote kwa kupungua kwa hao watano? Akasema sitauhalibu, nikiona humo arobaini na watan? Akazidi tena kusema naye akinena huenda, huenda wakaonekana humo arobaini? Akasema sitafanya kwa ajili ya hao arobain? Akasema Bwana asiwe na hasira nami nitasema, huenda wakaonekana huko thelathini? Akasema sitafanya nikiona hao thelathin?

Akasema tazama, nimeshika kusema na Bwana, huenda wakaonekana huko ishirini? Akasema sitaharibu kwa ajili ya hao ishirin? Akasema Bwana asiwe na hasira, nami nitasema mara hii tu, huenda wakaonekana huko kumi? Akasema sitaharibu kwa ajili ya hao kum? Basi Bwana alipo maliza kusema na Ibrahimu, akaenda zake; Ibrahimui naye akaenda mahali pake"

Mfano mwingine mkubwa unapatikana katika Danieli sura ya 9 wakati Danieli anawafanyia maombezi wat? Katika Danieli 9 msitari wa 15 hadi 21, tunapata taswira yayaliotokea wakati Danieli alikuwa mbele za Mungu akiwaomea watu wa Israel? "Na sasa Ee Bwana Mungu wetu, uliye watoa watu wako hawa katika nchi ya Misri kwa mkono hodari, ukajipatia sifa kama ilivyo le?

Tumefanya dhambi, tumefanya maov? Ee Bwana sawasawa na haki yako yote, nakusihi hasira yako na ghadhabu yako zigeuzwe na kuuacha mji wako Yerusalemu, milima wako mtakatifu, maana kwa sababu ya dhambi zetu na maovu ya baba zetu, Yerusalemu watu wako wamepata kulaumiwa na watu wote wanaotuzunguk?

Basi sasa Ee Mungu wetu, yazikilize maombi ya mtumishi wako, na dua zake, ukaangazie uso wako juu ya patakatifu pako palipo ukiwa kwa ajili ya Bwan? Ee Bwana Mungu wangu tega sikio lako usikie, fumbua macho yako ukautazame ukiwa wetu, na mji ule ulioitwa kwa jina lako, maana hatukutolei maombi yetu kwa sababu ya haki yetu, lakini kwa sababu ya rehema zako nying?

Ee Bwana usikie, Ee Bwana usamehe, Ee Bwana usikilize, ukatende, usikawie; kwa ajili yako wewe, Ee Mungu wangu; kwa sababu mji wako na watu wako wanaitwa kwa jina lak? Basi hapo nilipokuwa nikisema na kuomba, na kuungama dhambi yangu, na dhambi ya watu wangu Israeli, nakuomba dua yangu mbele za Bwana, Mungu wangu, juu ya mlima mtakatifu wa Mungu wangu; Naamu nilipokuwa nikinena katika kuomba, mtu yule Gabrieli niliyemwona katika njozi hapo kwanza, akirushwa upesi, aliniguza panapo wakati wa dhabihu ya jion?" Je, nimatokeo gani yatatokea iwapo utaanza kuombea taifa lako kwa njia hii? Je, ni jambo ambalo unahesabu la maana kujaribu?

Mwisho maandiko yanazungumzia njia mbili za kufunga, tunastahili kufanya yot? Ya kwanza ni kile Yesu alifundisha wanafunzi wake wafany? Na ya pili inatoka katikas kitabu cha Isay? Katika Israeli na katika kitabu cha Matendo Yesu na wanafunzi wake wangefunga kwa sababu nyingi, ambazo zimewekwa wazi katika maandik?

Mwelekeo, maombezi, hekima, maagizo kutoka kwa Mungu, utambuzi, uponyaji na ukomboz? Kama vile Yesu alivyofanya hivyo na kuwa wafundisha wanafunzi wake kufanya hivyo twafaa kufanya hivyo pi? Kufunga ni kuenda bila chakula kwa mfano masaa 24 na kunywa maji tu pasipo kufuatanish?

Kuna kufunga kwingine ambako kunajulikana katika Isaya sura ya 58 msitari wa 6 hadi 8 inasema: "Je, saumu niliyoichagua siyo namna hii? Kuvifungua vifungo vya uovu, kuzilegeza kamba za nira, kuwaacha huru walioonewa, na kwamba mvunje kila nira? Je, siyo kuwagawia wenye njaa chakula chako, na kuwaleta maskini waliotupwa nje nyumbani kwako?

Umwonapo mtu aliyeuchi umvike nguo wala usijifiche na mtu mwenye damu moja naw? Ndipo nuru yako itakapo bambazuka kama asubuhi, na afya yako itatokea mara, na haki yako itakutangulia, utukufu wa Bwana utakufuata nyuma ukulind?"

Yakobo sura ya 1msitari wa 22 inasema kama ifuatavyo: "Lakini iweni watendaji wa neno, mbali sio wasikiaji mkijindanganya wenyew?" Kila mkristo anastahili kuwa mtendaji wa neno na sio msikiaji t? Iwapo tutazonga mbele na kufanya mambo ambayo tunajifunza basi lazima ulimwengu utakuwa mahali tofaut?

tipezeni ife