chichewa   |   english

werengani izi

(read)

VIPAWA VYA ROHONI KWA UFUPI

(SUMMARY OF SPIRITUAL GIFTS)

"Nijaposema kwa lugha za wanadamu na za malaika , kama sina upendo nimekuwa shaba iliayo na upatu uvumao Tena nijakuwa na unabii, na kujuasiri zote na maalifa yote, nijapokuwa na imani timilifu kiasi chakuweza kuhamisha milima, kama sina upendo, si kitu mim? Tena nikitoa mali zangu zote kuwa lisha masikini, tena nikijitoa mwili wangu niungue moto, kama sana upendo, hainifaidi kit?" Kwa njia nyingine kifungu hiki kutoka 1Wakorintho sura ya 13 kina hitimisha mambo yot?

Kwa kweli kuna wale ambao wakati wamepokea kipawa cha lugha wanadhani wamefika, na hakuna chochote zaidi cha kulenga ten? Kwa huzuni wao kupokea kipawa hiki na kimekusudiwa kuwa mwanzo t? Lugha ni kipawa cha lugha ya maombi cha kutumiwa kuchochea uhusiano wako wa ndani na muumba wako, na kutumika kama silaha ya rohoni wakati wa vita vya kiroho na maombez?

Kuna wale wanaodhani kuwa wao ni wa kiroho sana kuliko yule asiyenena kwa lugha, na basi atatafuta nafasi ya kuonyesha kipawa hiki ambacho Mungu amempatia yey? Warumi sura ya 8 msitari wa 26 unasema kama ifuatavyo: "kadhalika Roho naye hutusaidia udhaifu wetu: kwa maana hatujui kuomba jinsi itupasavyo: lakini Roho mwenyewe utuombea kwa kugua kisikoweza kutamkw?"

Paulo anatushauri katika Waefeso 6 "Tuombe ndani ya Roho katika kila hali inavyowezekan?" Hii ina maanisha zaidi ya kitu kimoja, ina maanisha kuomba kama vile Mungu ameongoza, kwa lugha ambayo amekupa kwa kusudi hil? Ina maanisha unaweza kumfanyia mtu maombezi na / au uombe kwa matokeo makubw? Kuzungumza kwa jumla, kipawa hiki ni cha kutumia katika matumizi yako ya binafsi, na kisitumike kwa umati iwapo hakuna mtu anayeweza kutafsir?

Kutafsiri lugha

Interpretation of tongues

Wakati mwingine mkutanoni kutakuwa na mtu ambaye atanena kitu Fulani mbele ya umati, kwa luhga tofaut? Wakati mwingi ni maombi ya binafsi au ujumbe kutoka kwa Bwan? Ikiwa sio cha muda wa kipekee kinastahili kitafsiriwe wakati wote na mt? Kumekuwako na watu mkutanoni ambao hawajaokoka na mtu akanena kwa ujasiri ujumbe kwa lugha ambayo kwa uwezekano hawakuwa wakejifunza lugha yao wenyewe hiyo ni kusema lugha ya wagen?

Ingawa kila mtu yeyote, watahitajika kujua kwa lugha yao wenyewe kile ambacho kimesemwa, wageni wanafahamu sawa sawa na wanashangazwa, na kudhihilishwa kwa uwepo wa Mungu katika mkutan? Kutojua kwingine ampako hutokea kila mara ni kuwa tafsiri sio tafsiri ya lugha fulani; kwa hivyo tafsiri yenyewe inaweza kuwa mpango mkumbwa yenye imani zaidi ya ujumbe halis?

Wakati mwingine itakuwa ni ujumbe wa unabii ambao kanisa linastahili kusikia, katika wakati mwingine itakuwa maombi-ya moyoni ya mtu ambaye amenen? Wengi wameuliza iliwezekana vipi walisikia injili kwa lugha yao ya nyumbani katika siku ya Pentekoste? Muujiza ulikuwa kwa wasikiaji au kwa wanenaji? Tafsiri ya kwanza ya lugha ambayo mwanafunzi alitoa ilikuwa kutoka kwa mtu aliyenena lugha isiyojulikana na kiongozi wa mkutano akauliza iwapo pana mtu aliye na tafsir?

Hii hata hivyo ikamchanganya mwanafunzi kama alivyoisikia kwa kingereza kikamilifu, ambicho alikuwa amesikia wakati wote, na kwa bahati zuri alikuwa na ujasiri wakutosha kunena alichosikia, na basi akabariki mkutano kwa neno la kutia moyo kutoka kwa Bwan? Kipawa cha kutafsiri lugha kinaenda pamoja katika wakati mwingi na kipawa cha kutafsiri maono, na kimepokewa na wakristo wengine ndugu na akina dada katika Yesu na kuletwa mkutanon?

Danieli alikuwa mtafsiri mzuri wa maono kama alivyokuwa Yusufu, kitu cha kushangaza kuhusu Danieli ilikuwa kwamba alipeana tafsiri lakini hakuna yeyote aliyekuwa ame mwambia maono yalivyokuw? Hii hadithi inawezapatikana katika sura ya 2 msitari wa 14 hadi 28 inasema kama ifuatavyo: "Ndipo Danieli kwa busara na hadhari akamjibu Arioko akida wa walinzi wa mfalme, a liyekuwa ametoka ilikuwauwa wenye hekima wa Babeli: Alijibu akamwambia Alioko, akida wa walinzi wa mfalme, mbona amri hii ya mfalme ni kali namna hii?

Kisha Arioko akamwarifu Danieli habari il? Basi Danieli akaingia, akamwomba mfalme ampe muda, kisha yeye atampa tafsiri ile mfalm? Ndipo Danieli akaenda nyumbani kwake, akawapasha habari akina Hanania, na Mishaeli, na Azaria wenzake: iliwaombe rehema kwa Mungu wa mbinguni kwa habari ya siri hiyo, ili kwamba Danieli na wenzake wasiangamizwe pamoja na wenye hekima wa Babel?

Ndipo Danieli akafunuliwa siri hiyo katika njozi ya usik? Basi Danieli akamhimidi Mungu wa mbinguni: Danieli akajibu akasema, na lihimidiwe jina la Mungu milele: kwakuwa hekima na uweza ni wake: Yeye hubadili majira na nyakati: huzulu wafalme na kuwa milikisha wafalme, huwapa hekima wenye hekima: huwapa wenye ufahamu maarifa:

Hufunua mambo ya fumbo na siri: huyajua yaliyo gizani, na nuru hukaa kwak? Nakushukuru na kukuhimidi, Ee Mungu wa baba zangu, uliyenipa hekima na uwezo, ukanijulisha hayo tuliotaka kwako, maana umetujulisha neno lile la mfalm?

Basi Danieli akaenda kwa Arioko, aliyewekwa na mfalme kuwaangamiza wenye hekima wa Babel: ailikwenda akamwambia hivi, usiwangamize wenye hekima wa Babeli; niingize mimi mbele ya mfalme, nami nitamwonyesha mfalme ile tafsir?

Ndipo Arioko akamwingiza Danieli kwa mfalme kwa haraka, akamwambia hivi nimemwona mtu wa hao wana wa Yuda waliohamishwa, atakayemjurisha mfalme ile tafsir? Mfalme akajibu akamwambia Danieli aliyekuwa akiitwa Belteshaza, Je waweza kunijulisha ile ndoto niliyoiona na tafsiri yake?

Danieli akajibu mbele ya mfalme, akasema ale siri aliyo uliza mfalme, wenye hekima hawa wezi kumfunulia mfalme, wala wachawi wala waganga, wala wanajimu: Lakini yuko Mungu mbinguni afunuaye siri naye amemjulisha mfalme Nebukadreza mambo yatakayo kuwa siku za mwisho" Katika Yoeli sura ya 2 Mungu anaahidi kuwa ndoto na maono yatakuwa kawaida nyakati zinapokaribi? Yoeli 2 msitari wa 28 na 29 ina sema kwa wazi: "Hata itakuwa baada hayo, ya kwamba nitamimina Roho yangu juu ya wote wenye mwili; na wana wenu waume kwa wake watatabiri, wazee wenu wataona ndoto na vijana wenu wataona maono tena juu ya watumishi wenu wanaume kwa wanawake katika siku zile nitamimina Roho yangu Labda unashangaa nini tofauti iliyoko kati ya ndoto na maono, jibu ni rahisi, Ndoto ni kitu ambacho unapokea wakati umelala maono ni kitu ambacho unapokea wakati huja lala yote yako katika mchoro na wakati wote katika rang?

Utambuzi

Discernment

Hiki kipawa kinakuwezesha kukuambia ambacho kinasemwa, au kilicho semwa kimetoka kwa Mungu au nicha mwil? Nikipawa ambacho kinahitajika sana kanisani siku za leo, kwakuwa kina husiana pia na kuwa na ufahamu wa kiroho, wakati kuna mtu mkutanoni anayehitaji ukomboz? Sio kila mtu ambaye amekuja kanisani yupo hapo kwa sababu wanataka kujua zaidi kuhusu Mung? Wakati mwinguine watakuja na nia ya kuvuruga mkutano, wakati mwingine hii inaweza fanyika bila wao kusema neno au kufanya kelel?

Iwapo roho ya kimapepo iko ndani ya mtu inaweza ikashawishi waliokusanyika, inawezafanya kusifu na kuabudu kuwangumu na katika hali zingine kutowezekana kabis? Wakati unajua ninani na mahali walipo mkutanoni je, utafanya nini? Hauna ruhusa ya kumwambia aondoke na kiongozi wa mkutano hana kipawa hiki hata kuungamkono hata iwapo utafanya hivy?

Kwa hakika suruhisho ni kuja pamoja na mtu mwingine mkutanoni, mtu ambaye ni mshilika wa kanisa anayeenda pamoja na Bwana ambaye anajua kuhusu kipawa cha utambuzi na kuomba labda kuwe na kujidhihirisha na pepo kuondoka kupitia kukemewa au mtu anayeshababisha shida aondoke na tuweze kuendelea na mkutan? Wakati mmoja hili lilitokea, Maombi yaliombwa babadaye na baada ya dakika tano mtu mwenye kosa aliamka nakuondok? Baada ya hilo sifa na kuabudu katika mkutano zikaendelea na uwepo wa Mungu ukasikiwa na wot?

Neno la maarifa

The word of Knowledge

Hii ni uwezo wa kuomba kwa jambo ambalo lime sababisha shida, iwapo unaomba na mtu, au uwezo wa kujua kuwa kuna mtu katika mkutano ana shida Fulani, na kuwa Mungu anataka kumhudumia mtu huyo au watu hao usiku hu?

Unaweza kuonyeshwa mtu mmoja tu mwenye hiyo shida na ushangazwe kuona sita au tano wakitokea kwa huo mwit? Hii haimanishi ulikosea katika kuwaza kuwa alikuwa tu mmoja, inamaanisha kuwa Mungu ana wakati ulioamriwa kwa mtu mmoja katika mkutano huo, lakini kama vile wengine wamejibu kwa imani Mungu atawapa mguzo kutoka kwake pi?

Wakati mwingine ni shida ya kimatibabu, wakati mwingi ni shida ya kihisia, na wakati mwingine ni shida ya kifamilia ambayo inahitaji kushughulikiwa katika siri badala ya faraghan? Iwapo unania na kwa uwazi kufanya kile Mungu anataka wewe ufanye, basi kuwa mwelevu kufuata maagiz? Kipawa hiki ni kwa utukufu wa Jina lake takatifu, sio kipawa kwa njia yeyote kikutukuze wew?

Uponyaji

Healing

Wakati mwingine Mungu anatutaka tuweke mikono yetu juu ya watu iliawapone, wakati mwingine atafanya kwa ukuu wakati wa sifa na kuabud? Sio kila mtu atakayekuwa na kipawa moja cha hivi, lakini kwa wakati mmoja ambao Mungu anachagua, na muumini yeyote aliyezaliwa mara yapili anaweza kutumika kwa njia hi?

Unastahili hata hivyo kukumbuka kusonga kwenye mwelekeo wa Mungu, basi katika imani wala sio kwa akili zak? Yesu hakuwahi kwenda kwa akili zake mwenyewe, ni katika amri ya Baba, iwapo kanisa leo lingesoma funzo hil? Watu wengi wameshangazwa na neno la Luka sura ya 5 msitari wa 17 inaposema: "Naikatukia siku moja alipokuwa akifundisha kuwa kulikuwa na mafarisayo na matibabu, wameketi waliokuwa wametoka katika kila mji ndani ya Galilaya, na Yudea, na Yerusalemu: na nguvu za Mungu zilikuwako ili kuwaponya wa?" (Hii bila shaka inamwonyesha Yesu na nguvu za Mungu zakiwapo pamoja naye ili kuponya) kwa njia ambayo msitari huu umeandikwa unaonyesha kuwa hii haikuwa ni jambo la kawaid? Hii inaleta pamoja kikamilifu maneno ya Yesu kwa wanafunzi wake katika Yohana Sura ya 5 msitari wa 19 inasema: "Mwana hawezi kutenda neno mwenyewe ila lile ambalo amwona Baba analitenda kwa maana yote ayatendayo yeye, ndiyo ayatendayo mwana vile vil?" Utajuaje wakati Mungu anasonga na kutaka kuwaponya wagonjwa? kwa utambuzi utambuz?

Hekima

Wisdom

Kama kipawa cha Rohoni, hii haihusiani na hekima ya dunia kutokana na kupitia mambo au kufanya uamuzi unao hatalisha, hii ni hekima ya Mungu kabis? Ni kama neno la maarifa au neno la kiunabii, inakujia kwa njia ambayo utakili kwamba sio ya kawaid? Unaweza kuwa hauna chochote akilini mwako haufikilii chochote Kisha kwa ghafla Bwana anaweka neno moyoni mwako vile utakavyo kabiliana na hali unayohitaji hekima kwa ajili yak?

Yakobo sura ya 1 msitari wa 5 hadi 8 inasema ifuatavyo na ina husika sana na kipawa hiki: "lakini mtu wa kwenu akipungukiwa na hekima, na aombe dua kwa Mungu, awapaye wote kwa ukalimu, wala hakemei naye atapew? Ila na aombe kwa imani, pasipo shaka yeyote, maana mwenye shaka ni kama wimbi la bahari lililochukuliwa na upepo, na kuchukuliwa huku na huk? Maana mtu kama yule asidhani ya kuwa atapata kitu kwa Bwan? Mtu wania mbili husitasita katika njia zake zot?"

Imani

Faith

Kuna tofauti kumbwa sana kati ya imani na fikira ya mataraji? Imani huja kupitia kisikia, kusikia neno la Mung? Iwapo unafanya kitu ambacho hujaambiwa na Mungu ufanye basi unafanya kutokana na akili zako mwenyewe wala sio iman? Kipawa cha imani ni wakati utakutana na hali, kitu ambacho kinahitaji ushauri au maombi kwa ajili ya uponyaji, na hapo hapo unakuwa na ushawishi wa asilimia mia unajua ni nini Mungu anaenda kufanya bila kufikiria unakitamk?

Huwezi ukawa na imani hiyo kila wakati ya kuamini hivyo, lakini hii ndio maana kipawa hicho kisicho cha kawaida kinahitajika katika hali nyingi, ili kwamba majibu yako kwa msukumo wa uvuvio wa Mungu, kujua ya kwamba yale ambayo uliyaongea yatakuja kutimi?

Kipawa cha miujiza

Gift of miracles

Hiki ni kipawa ambacho watu wachache sana wakonacho, na inafaa ujue ya kwamba wanapotumia kipawa hiki kwamba Mungu ndiye anayeifanya miujiza, kawaida utaweza kutambua hili kupitia kuhubiriwa neno au kupitia kipawa cha Roho cha utambuz?

Lakini kumbuka ya kwamba katika ufunuo 13 msitari wa13-14 tunasoma haya kumhusu shetani mwenyewe akiwa anaachiliwa kuongoza ulimwengu kwa miezi 42: "Naye afanya ishara kubwa, hata kufanya moto kushuka kutoka mbinguni uje juu ya nchi mbele ya wanadamu, naye akawa wakoshesha wale wakaao juu ya inchi, kwa ishara zile alizopewa kuzifanya mbele ya huyo mnyama akiwaambia wakaao juu ya inchi kumfanyia sanamu yule mnyama, aliyekuwa na jeraha la upanga naye akaiish?"

Basi sasa kwa ufupi na kwa haraka tuangalie juu ya vipawa vya-huduma tano kila kimoja kikiwa kimetengwa na kupewa maelezo ambayo unaweza kuyatarajia kutoka kwa mtu aliyena kipawa hich?

Mtume

Apostle

Katika maandiko kuna majina tofauti ya kipawa hiki cha huduma, lakini vipawa vyote vya huduma vina kitu kimoja pamoj? Mtume (wakati mwingine anaitwa msimamizi na semazi) ni yule anayezunguka (anapohitajika) akianzisha makanisa mapya, na kuwa mshauri wa kiroho kwa makanisa mengi wakati mwingine duniani kot?

Mitume

Prophet

Mpaka kufikia wakati wa Samueli huduma hii ilikuwa inajulikana kama mwonaji, kwa sababu mtu huyo alikuwa anapewa maono ya mambo mengi tofaut? Baadaye akajulikana kama Nabii kwa sababu kazi kuu ya mtu aliye na huduma hii ni kutangaza neno la Mungu, umuhimu sio kutabiri mambo yajayo, ingawaje haiwezi kuepukika kulingana na neno analolipokea kutoka kwa Mung? Mtu yeyote anaweza kutabiri katika mkutano kwa muda mfupi, lakini yule aliye na huduma ya Nabii atakuwa anatembea katika uwepo wa Mungu, na yuko tayari wakati wote kuleta neno kutoka kwa kiti cha Mungu (kuhubiri) hata kama hakupewa kabisa muda wa kujitayarish?

Muinjilisti

Evangelist

Kunakutoelewa sana kuhusu huduma ya Muinjilist? Kazi ya Muinjilisti, sio tu kuleta watu kwa Bwana, kama vile tutakavyoangalia baaday? Kazi yake, kama kazi yote ya wale walio na vipawa vya huduma-tano ni kutia moyo mwili, na kutayarisha wao kwa kuwafundisha wao vile wanavyoweza kufua nafsi kwa Bwana pi?

Mchungaji

Pastor

Kazi ya Muchungaji kwa ufafanuzi ni kutuza kondo? Yesu mwenyewe alijiita Mchungaji Mwema, na basi kujitenga na wachungaji wabaya waliotajwa katika Ezekieli sura ya 3? Itakuwa vyema kuangalia sura hii kwa wakati wako binafsi kuangalia ni nini mchungaji ahistahili kufanya, hata kama kuna wachungaji ambao wameshindwa kabisa kutunza kondoo, watahitajika kujibu mbele ya Mung? Lifanye jambo la furaha mchungaji wako kuwa juu yako katika Bwana, atakuwa na mzigo unaostahili mbila wewe kufanya mambo kuwa magumu kwak?

Mwalimu

Teacher

Wachungaji wengine ni waalimu wazuri sana, walimu wengine wanakua wachungaji wazuri sana, wakati mwingi vipawa hivi vya Huduma haviwezi kumilikiwa na mtu mmoj? Kuna matukio nadra vimeweza, lakini kwa jumla hivi sivyo inavyokuw? Kazi ya mwalimu ni kutangaza maandiko na neno la Mungu ambalo limetoka katika kiti cha Mungu kwa siku hiyo kwa njia ambayo inaweza kueleweka kwa msikiaji hata wakati hawakupata kitu kama masomo ya ziada ya bibili?

Kazi yao ni kujua ni nini Mungu anataka kuwafundisha watu kwa wakati Fulani, asichukue somo na aaze kufundisha kwa sababu anafikiria ni zuri kuizungumzia katika siku Fulan? Iwapo atafanya hivyo hatakuwa hakufundisha tu, lakini atakuwa anafanya pasipo kuruhusiwa na Mung?

Kazi yo yote ya hawa wamiliki wa Vipawa vya Huduma ni kujenga, kutia moyo na kutayarisha mwili wa Krist? Katika Wefeso sura ya 4 msitari 11 hadi 13 yote inasema ifuatavyo: "Naye alitoa wengine kuwa mitume, na wengine kuwa manabii, na wengine kuwa wainjilisti na wengine kuwa waalimu: kwa kusudi la kuwa kamilisha watakatifu, na ha kazi ya huduma itendeke, na hata mwili wa Kristo ujengwe: hata na sisi siote tutakapo ufikia umoja wa imani na kumfahamu sana mwana wa Mungu, hata kwa mtu mkamilifu, hata kufika kwa cheo ukamilifu wa Kristo:"

Itakuwa ajabu sana kutayasrisha askari kwa silaha za ghalama kubwa, isipokuwa anaenda kutumika wakati huo kwa mabamban? Hivyo hivyo vipawa hivi ni vya kutayarisha watu wa Mungu kwa huduma wenyew? Katika 1 wakorintho sura 12 msitari 12 hadi 25 tunasoma: "Maana kama vile mwili ni mmoja, nao una viungo vingi, na viungo vyote vya mwili ule, navyo ni vingi, ni mwili mmoja: vivyohivyo na Krist? Kwa maana katika Roho mmjoja sisi sote tulibatizwa kuwa mwili mmoja, kwamba tu Wayahudi, au kwamba tu Wayunani, ikiwa tu watumwa au waru huru; nasi sote tuliyweshwa Roho mmoj?

Maana mwili si kiungo kimoja, mbali ni ving? Mguu ukisema kwa kuwa mimi si mkono, mimi si wa mwili; je, si wa mwili kwa sababu hiyo? Nasikio likisema mimi si jicho mimi si wa mwili; je, si la mwili kwa sabanu hiyo? Kama mwili wote ukiwa jicho, kuwapi kusikia?

Kama wote ni sikio kiwapi kunusa? Bali Mungu amevitia kila viungo kila kimoja katika mwili kama alivyotak? Lakini kama vyote vingekuwa kiungo kimoja mwili ungekuwa wapi? Lakini sasa viungo ni vingi ila mwili ni mmoj?

Na jicho haliwezi kuambia mkono, sina haja na wewe; waqla tena kichwa hakiwezi kuambia miguu, sina haja na nyiny? Bali zaidi sana vile viungo vya mwili vidhaniwavyo kuwa vinyonge zaidi vinahitajiwa zaidi; Navile vingine vidhaniwavyo kuwa havina heshima, viungo vile twavipa heshima zaidi; na viungo vyetu visivyo na uzuri vina uzuri zaidi san?

Kwa maana viungo vyetu vilivyo na uzuri havina uhitaji; bali Mungu ameuungamanisha mwili, na kukipa heshima zaidi kile kiungo kilichopungukiwa: ilikusiwe na faraka katika mwili, bali viungo vitunzane kila kiungo na mwenziw?" Isipokuwa sehemu sote zinafanya jinsi sinastahili utakachokuwa nacho kweli ni mwili mgonjw? Labda hii ndio sababu makanisa mengi yamekuwa dhaifu?

tipezeni ife