chichewa   |   english

werengani izi

(read)

SILAHA ZOTE ZA MUNGU KWA UFUPI (KUTOKA WAEFESO SURA YA 6)

THE FULL ARMOUR OF GOD (BASED ON EPHESIANS CHAPTER 6)

Kweli viunoni

The belt of Truth

Kweli ni muhimu sana kwa mkristo ambaye atakuwa mshindi na kumshinda muov? Kuna msemo ambao unasema hakuna madhara kunena uongo mweupe, lakini hakuna kitu kama hich? Kila tunaponena uongo tunakuwa sehemu moja na ibilisi, ambaye ni baba wa uongo, Kuwa wenye kweli kila wakati inamaanisha hatuwezi tukalegea tena, lakini kila wakati kutangaza ukuu wa Yesu, ikiwezekana pasipo kusababisha kos?

Isipokuwa mtu ameamini katika ukuu wa Yesu wa injili, basi yote tunayemwamini ni kama kiongozi mwingine wa dini na mwazilishi, ambao wote hawana uwezo wa kulipia adhabu ya dhambi zao wenyewe, ambazo ni chache kuliko dhambi za mwanadamu kwa umilel?

Watu wengi wanafundishwa upotevu wa injili ya kweli, wengine wakipokea wokovu kwa njia ya matendo mema, wengine wanaambiwa ni kuwa na imani pamoja na matendo mema iliwaweze kupokea wokov? Katika Waefeso sura ya kwanza, Mtume Paulo anasema waziwazi kuhusu injili anayo hubir? "Umeokolewa kwa neema, kwa imani ndani ya Yesu mwana wa Mungu, sio kwa matendo mtu asije akajivun?"

Tunaona kweli ya hili na Abraham katika kitabu cha Mwanzo (Agano la kale) na kitabu cha Waebrania (Agano Jipya) kuwa Abraham aliamini neno la Mungu na hii ndiyo Mungu alihesabu kumhesabia hak? Ingawaje katika mambo mengine imani pasipo matendo sio imani kabisa, matendo yanayo zungumziwa ni, matunda ya kutoka katika uhusiano wetu na Yesu Kristo na bayana ya kazi ya Mungu katika maisha yetu, haya hesabiki kwa kupokea wokovu wetu, hiyo ni Imani hupewa kila mtu kama kipawa kutoka kwa Mung? Kipawa ni kitu ambacho hatukupata kwa kizi yetu wala kustahili, tumepewa kwa neema sio kwa kujitoa kwetu kama sivyo hakingekuwa kipawa kabisa, lakini ni malipo ambayo yamefanyiwa kaz? Neno imani awali katika tafsiri halisi lilimaanisha zaidi ya kuikili, ilionyesha kitu ambacho umejenga maisha yako ndani yak? Imani ni kumwamini Mungu na kufanya anachokuambia ufany?kupitia imani ndani ya Yesu kristo peke?

Hili inaweza kuja tu kupitia uhusiano wa binafsi na Mungu, kupitia Yesu Kristo ilituweze kusikia sauti yake ikinena nasi na tutii ambacho anatuambia kufany? Imani inaleta ufanisi, kwa njia hii iwapo tutakuwa waaminifu katika kweli ya injili, na kuendelea kuamini ndani ya mioyo yetu mpaka mwisho wa maisha yetu hapa dunian?

Je, itakuwaje kuhusu mtu ambaye hana uwezo wa kufanya kazi yeyote kwa sababu ya ulemavu mkali? Jibu ni rahisi sana na la ajab? Kinachochochea kwa wokovu wetu ni uhusiano na Mungu, yeyote aliye na uhusiano wa kweli na Mungu hata ingawa hawezi akafanya kazi yoyote, uhusiano wao na Mungu kupitia Yesu Kristo ndio wanaohitaji kwa ajili ya wokov?

Utayari wa injili ya amani

The shoes of the gospel of peace

Kwa wakati mwingi mwanadamu amejaribu kuleta amani katika hali zilioharibika, na amepata kila mara kuwa amani hiyo haidum? Wakati kutakuwa na amani ya kudumu na amani ya kweli, kila mahali dunuani ni wakati tutapokea kweli ya injli na wajipeane wenyewe katika maisha ya kuabudu na kutii Masihi wa kweli, Yesu Kristo, mwana wa Mung? Hakuna mwanadamu anayeweza kuleta amani, ni kutawala kwa Yesu tu na kutamaraki diniani milel?

Kuhani wa Mungu katika siku za Musa alipakwa mafuta katika sikio la kulia, mkono wa kulia na mguu wa kuli? Sikio ili kwamba mtu huyo asizikize uvumi mbaya, mambo ambayo sio kweli ya kabisa, ambayo yanaweza leta madhara makumbwa kama vile kuzungumzia kutokuwa mwaminifu kwa Mungu, mkono iliyote atakayoweka mkono wake juu yake yatakuwa kwa heshima na kwa utukufu wa Mungu, na mguuni iliasiende popote ambapo Mungu alikuwa amemwonya asiend?

Mambo yote yalifanywa katika sehemu ya kulia ya mwili, kama ukamilifu wa ishara ya utakatif? Katika siku za Musa na Wafalme wa Israeli, walipoenda vitani kupigana na adui, kutakuwa na vigingi uwajani vifupi ilikutega, na kuangusha jeshi wanalopigana nalo wanapoendelea, Hivyo hivyo shetani anaweza kukutega iliuingie mahali ambapo Mungu ajakuruhusu wewe kuingi? Iwapo utaingia, basi itakuwa kama kuingia mtegoni, na katika kila hali shetani atakuwa anamaanisha ilikujeruh?

Chepeo ya Wokovu

The helmet of salvation

Kawaida hii ilikusudiwa iweze kulinda kichwa, lakini katika mambo ya kiroho inazungumzia kile tumelekezea akili zetu, nini tuna tazama, nini tunasoma na ni nini tunawaz? Adui atajaribu kujaza akili zetu kwa vitu ambavyo vinadhuru hata hatari, lakini lazima tujifunze kupambanua kilicho cha Mungu na kisicho cha Mung? Kuangalia au kusoma kala za ngono, kusoma nyota,kusoma viganja, kusoma majani chai ?k yote ni mambo yale ambao Mungu anatuonya tuweze kujitenga nayo, pamoja na mambo mengine mengi kama vile madawa ya kiasili, matibabu ya sindano pamoja na mengine yaitwayo tiba za kiasili na virutumbush?

Mtume Paulo akasema kuwa "Iwapo yeyote atakuja kwenu na injili tofauti na ile tuliyoleta kwenu, msiwe na neno lolote na mtu huyo? Tambua anasema "usiwe na neno lolote na mtu huyo" na "usijifunze anacho kuambia iliuweze kumwelezea anapokosea? Iwapoutaelewa injili ya Yesu Kristo inavyostahili, utatambua mara tu anakuja kwako na ya uong? Mafindisho haya yametayarishwa iliyaweze kukufundisha kweli iliusiweze kupotoshwa na mafundisho ya uong?

Lazima tuwewangalifu ilitusizijaze akili zetu, na vitu kinyume, na ambavyo viko kinyume na iman? Imani ya kweli ni kufikilia sawa kusudi la Mungu la maisha yako, na mambo ambayo amekuitia kufany? Iwapo hatutaruhusu mawazo yalio kinyume kuingia akilini mwetu basi sio rahisi kushindwa na mambo yaliyo kinyum? "Yeye aliyekuita ni mwaminifu, naye ataikamilish?"

Darii ya haki

The breastplate of righteousness

Moja ya mambo yaliyo msababisha Yesu kufanya miujiza mingi duniani ni kuwa alikuwa mtu mkamilif? Hakuwahi kundanganya, hakufanya chochote kwania mbaya na hakutenda dhambi katika sili Akiamini hataonekan? Watu ambao hufanya hivyo kila wakati huwekwa wazi bude au baadaye, haijalishi ni akina nan?

Kwa sababu alikuwa maakini kuendea njia zilizowekwa mbele yake, kama vile hakuna dhambi iliyo patikana ndani yake, aliponena, alichonena kilibeba uzito wa kiroho na mamlaka, kwakuwa hakuwa na uongo ndani yak? Sawa nasi iwapo tutakuwa na uhusiano na Mungu na katika kweli kutofanya chochote ambacho Mungu hawezi akakubaliana nacho, basi nguvu na mamlaka vitakavyokuwa kwa ajili yetu vitakuwa zaidi ya vile vilivyokuwa Hii ndio sababu makanisa mengi ulimwenguni hayaoni nguvu za kutenda miujiza za Mungu katikati yao, kwa sababu wameenda mbali na viwango na maagizo yaliyowekwa na Mungu kwa watu wa mungu waende jinsi Yesu alivyoenda, katika ushindi mku? kama ilivyo na kanisa, ndivyo ilivyo na wakristo binafs? Tunavyozidi kujiweka mbali na dhambi, ndivyo tunazidi kuishi maisha yanayonyesha nguvu na utukufu wa yule mmoja Mungu aishiye peke?

Ngao ya imani

The shield of faith

Je, unaamini kile ambacho bibilia inasema kuhusu Yesu na ahadi ambazo ametoa katika neno lake kwako mwenyewe na wote wamfuatao? Unaamini katika Jina lake, una nguvu kinyume na nguvu zote za adui, na pia unaweza kuponya wagonjwa, na kutoa mapepo kwa jina la Yesu? Watu wengi wanakosa kuelewa andiko hilo, halikupi mamlaka ya kuenda kila mahali na kufanya utakavyo, Yesu alifanya tu kile ambacho aliona Baba akifany?

Muhimu ni kufanya katika amri na sio kutoka kwa akili yako mwenyew? Hii ni pamoja na kusikia sauti ya Mungu na kuitii, na sio kufanya mpaka umesikia kutoka kwa Mungu, kile unachostahili kufanya katika kila hal? Iwapo utakutana na mtu ampaye anamepagawa, iwapo kazi ya mapepo inatatiza kuhubiri injili, au kuabudu Mungu, una mamlaka ya kuteka nyala pepo hilo na kuliamlisha kutoleta vizuiz? Isipokuwa mtu huyo amekubali ikemewe na apokee Yesu kama mwokozi , hauna uwezo juu yak? Iwapo mtu amekubali Yesu kama mwokozi, una mamlaka kuikemea itoke, lakini unaweza kupewa changamoto na pepo hiyo iwapo kuna shaka akilini mwako kuhusu nguvu na mamlaka uliyonayo ndani ya Yesu Krist? Shikilia msingi wako kwa ujasiri katika ushindi wa mamlaka yaliyoletwa na Mungu, na haitakuwa na budi ilakuondok?

Imeonyeshwa hapo mbeleni katika ufupi wa silaha zote za Mungu, iwapouna dhambi za makusudi, ambazo ujakili katika maisha yako, basi nguvu zako na mamlaka yako ndani ya Mungu yatapote? Katika hali zote kwanza kufunga na maombi yanastahili kutiliwa mkas? Pia iwapoutajua mapema kuwa utaenda kuwa hudumia wagonjwa, na waliopagaliwa kama juma moja kabla basi leta kanisa lako (pamoja na wewe) kuombea Roho ya uponyaji na ukombozi ilikuwa katika mkutanon? Wakati mwingi watu huponywa wakati wa kusifu na kuabudu, na kuhubiri neno bila mtu yeyote kuwaguza au kuwakaribia wa? Hapo ndipo utajua kuwa Mungu yuko kazini katikati yen?

Katika njia nyingine nyingi nguvu zako zitakuja kupitia kuamini kwako, na kusimama katika neno la Mung? Hakikisha unasoma neno kila siku na utakuwa na ujasiri, kwa kile utakachofanya na kusem? Iwapo utaamlisha mtu aponywe na uwe na shaka moyoni mwako la hili kutendeka, haliwezi kutendeka kabis?

Iwapo Mungu anafanya kazi ya uponyaji katika mkutano, na uwaombee watu na kuamlisha waponywe, iwapo utakili kwa ujasiri na msukumo basi lazima watapon? Kila wakati kumbuka hizi ndizo taratibu inategemea na Mungu wala sio wew? Anaweza endelea na afanye mambo makuu hata hivy?

Upanga wa Roho

The sword of The Spirit

Hili ni neno la Mungu, ambalo limekusundiwa kutumika katika njia ya mpangili? Unaponena neno la Mungu, kutoka kwenye bibilia an unabii au ujumbe, nena kwa msukumo, kwa sababu kuna mamlaka mengi na nguvu katika kunena neno la Mung?

Ulimwengu wote uliumbwa kwa neno la Mungu lililonenwa, bado lina nguvu za kubadilisha maisha ya watu, iwapo tutalitumia kwa njia ambayo lilikusudiwa kutumik? Hakuna kutenda kwa akili zetu wenyewe, lakini kutoka kwa amri ya Mung? Bibilia nyingine zinapendekeza kuwa "maombi yote" au "kuomba katika hali tofauti ndani ya Roho" pia ni silaha ya Mungu, lakini somo hili limewekwa katika sehemu nyingin?

tipezeni ife